
Pichani ni Meja Jenerali, Zawadi Madawili (pichani) ambaye ndio mwanamke mwenye cheo cha juu kupita wote nchini Tanzania. Takwimu ambazo bado hazina uhakika kamili zinasema kwamba Meja Jenerali Madawili inawezekana ndio pia mwanamke mwenye cheo cha juu kupita wote kusini mwa jangwa la Sahara.
Meja Jenerali Madawili alizaliwa mwaka 1953 na alijiunga na jeshi mwaka 1972.Hivi sasa ndiye mkuu wa Tawi la Mgambo jeshini.Ukitaka kujua habari kuhusu wanawake wengine duniani ambao wameandika historia kwa kuwa “wa kwanza” katika mambo mbalimbali hususani kiutendaji, bonyeza hapa.
Feedback / Comments
40 Responses to “MEJA JENERALI ZAWADI MADAWILI”
Leave a Reply


Naomba kurekebisha usemi “ndio mwenye cheo cha juu”, sentensi hii haina ukweli mpaka paongezwe neno cheo cha juu jeshini. Kwani vipo vyeo vingi sana vya juu, kama CEO, CFO, CFP na vingine katika anga za biashara.
so muandishi plz rekebisha hiyo statement
Nampata huyu maza anakaa upanga karibu na kambi ya jeshi..mume wake mwenyewe mwanajeshi lakini hampati kwa cheo!heshima
You are a role model of many other millions Tanzanian especially women, are inspiring your move……sure, gender issue is really been implemented here. Lets also think about other millions women living in the villages specifically, who still believe that women are only suited for domestic works alone.
Huyu mama ni mmoja kati ya wanawake nyota ninaowapenda hapa Tz. Hongera mama, uchapakazi wako ni mfano wa kuigwa na wanawake wote katika nafasi zao za ajira.
Hongera Mama.
Ninakutakia kila la heri katika kuendeleza gurudumu la maendeleo (ulinzi) la Taifa letu Tanzania.
Safi sana mama mimi nazani wewe ni mfano hai kwa wa mama wote Africa cuz kazi ufanyayo ni ngumu sana. Ongera mama
Ed, muandishi arekebishe nini wakati umeisha rekebisha? Even if he do so it will still be the same! Hakuna kisichoeleweka. Calm down.
Maza anastaili kupongezwa kwa kufikia cheo kikubwa jeshini, lakini katusaidia nini kwa ufisadi uliokisiri inchini? Huyu maza kawa jeshini kabla ya mimi kuzaliwa mpaka sasa nimesoma mpaka chuo na sasa nafanya kazi si kwamba kaziba vizazi wa sasa wenye nguvu kama zilivyokazi za kijeshi? mie naomba astaafu ili vijana wenye nguvu wafanye kazi, Mie nafikiri wazee wengi serikalini ndo maana ufisadi unakomaa na kuota mizizi isiyostahiki, mizizi hii haitakatwa mpaka vijana twende msituni?
Good looking lady, she is pretty! nahofia huko jeshini kama alisevu maana wadada wazuri tuliokuwa nao jeshini walikuwa mboga za maafande, na pia wakubwa wakitembelea kikosini wanapelekwa rest house kupumzika na mgeni! ulikuwa udhalilishaji mkubwa sana, mtu analazimishwa kwenda kumpa kampani mgeni kikosini! Imagine binti wa 20s analazimishwa kwenda kulala REST HOUSE na wakubwa majeshini apo wana miaka 50+. Shame kwa walioanzisha JKT, na fikra zao potofu za kuwanyanyasa mabinti wadogo!
Ed,
Au wewe ndio mmojawapo kati ya wale Viumbe Wazito nini?Anayeongelewa ni mwanajeshi.Sasa wewe kinakushinda nini hapo kuelewa kwamba cheo kikubwa kinachozungumziwa hapo ni cha kijeshi? Watu wengine kweli mikosi.
Ed kwani hapa huelewi nini ? ninanukuu: – “ambaye ndio mwanamke mwenye cheo cha juu kupita wote nchini Tanzania”.
Hiki ni kiswahili fasaha.
Niandikie email binafsi nitakuelekeza (mswahilina@gmail.com)
Maelezo ya hiyo picha inabidi yarekebishwe, vyeo ninavyoviona hapo mabegani siyo vya Major General bali ni vya Brigadier Gerneral. Brigadier General huwa na ngao ya taifa na nyota tatu zilizojipanga kipembetatu. Kwa hiyo usahihi ni kwamba huyo mama ni Brigadier General.
ngereja,
Mbona unakuwa mkali hivyo..huyu mama hivi sasa ni Meja Jenerali kama walivyosema BC.Alipandishwa cheo mwaka jana na Rais JK.Tatizo lako inaonekana na kukremu.Lakini uko sahihi kwamba hiyo picha ilipigwa wakati mama akiwa Brigedia Jenerali.
Hongera sana mama Madawili.Dunia inataka mifano kutoka kwa wanawake kama wewe.
Tony hesabu ya chap chp huyu mama ana miaka 55, sasa unaposema astaafu kisa ameanza kazi wewe hujazaliwa…. inabidi nawewe uache hiyo kazi maana jana mke wangu alijifungua pia, (hope u r matured enough 2 know wat I mean)…. Jua kwanza sheria zinasemaje… hususani kwenye kipengele cha umri wa kustaafu siyo kubwatuka tu….
Chris kumbuka miaka ya kustaafu jeshini si mingi kama unavyoelewa mika 55 ni mingi, pia kazi za jeshi zinahitaji nguvu kwa ufanisi mzuri hivyo mie kwa mawazo yangu astaafu tu. Hongera kwa kupata mtoto unahinaji kumtunza na umsomeshe kijana wako asome mpaka chuo nafikiri kama Mwenyezi Mungu atatujaria kufika huko basi nitakua nimefika wakati wa kufanya kazi ambazo si ngumu kama ninazo fanya sasa, hivyo nitastaafu sita ng’ang’ania kama Mgabe na Zimbabwe
chris hehehe nimeipenda hiyo..haihitaji mjadala
Haya Mtani wangu Chris Mkeo kajifungua mtoto gani kama ni wakike muite Matty ni amri sio ombi! te te te te te te!
Huyu Mama anastahili pongezi na mfano wa kuigwa wanawake oyeeeeeeeeeeeeeeee!
ed,
acha ku-playhate wewe! achievement ya huyu mama tena jeshini inastahili kuitwa “cheo kikubwa kuliko wote” achana na vyeo vyako vya ki-pumkin hivyo ulivotaja! htis woman has achieved alot!! she is a role model! achana na vyeo vya kupeana na wajomba ulivotaja hivyo!!!! learn to appreciate dude!!!
Hongera sana mama yetu. Sasa muanze kuweka pia na wanawake wengine wa kitanzania walio na vyeo vya juu wanaotuwakilisha nje ya nchi yeu maana sio wote wanaojulikana hapa nchizi zaidi ya kina mama Migiro na Getrude Mongella .
kweli alijisemea Field Marshall kuwa huku BC waweza kuwa na majina ya ….. ok duniani wawili wawil
Mama
Hivi kuna akina Amina wawili humu? Mmoja awe A mwingine B… Tehehetehetehteehteeheteheeeee….
Matty sina mtoto….. ilikua ni ktk kusisitizia ile point yangu….. Yaani kbs mwanangu nije nimuite Matty…. wewe mtoto Matty naona huniheshimu babaako….. teheteheteheteehteeheeeeee……
Huu si uwanja waa kujibishana mambo yasioeleweka mnasikia huyu mama tangu akiwa kanali katika gazeti la ulinzi la mei 1986 alionyeshwa kama mwanamke wa kwanza katika kusini mw jangwa laa sahara mwenye cho cha kanaali.
Hongera sana mama.
i am so proud of you mommy God bless you
ahhhh!!!you have done it mama…many congrat`s from me!!!you pave the way to all women out there…my message to them is “dont afraid…go and do it..and do it big time..everyone can..)mmmmmmmmmmmmmmmmmmwa…..
ni mwanamke mwenye cheo cha juu,au hamjui kuwa jeshi ni kanchi tayari??hayupo mweshimiwa Rais basi mkuu wa majeshi ndie mwenyewe.sasa huyo mama ni wa 2 kutoka mkuu wa majeshi
mnaobishana hapa katafuteni sehemu yake…mama kwakua mwanamke wa kwanza mwenye cheo cha juu katika historia ya jeshi la inchi hii!!!nakupongeza na ninamshauri amirijeshi mkuu asikuache hivi hivi ufutike katika historia ya nchi hii kama watu wengine mashuhuri walivyo sahaulika katika historia ya nchi hii..nalishauri jeshi liku enzi kwa sifa hiyo ikiwezekana itengenezwe hata sanamu yako nakuwekwa mahali kamaukumbusho kwa historia ya kizazi chetu cha baadae..tujivunie kwa kupata mwanamke shupavu,,hodari na mjasiri kama wewe
wewe Ed uliyetoa comment namba moja unataka parekebishwe nini?umeshaambiwa MEJA JENERALI NA PICHA IPO AMEVAA UNIFORM ZA JESHI NINI TENA CHA KUREKEBISHA?AU UNADHANI HIZO NI UNIFORM ZA (HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE,, SHULE YA MSINGI MIBURANI??)kaka au dada update your self!!!
……. hakuna chochote alichokifanya na kuwa na kumbukumbu kama walivyofanya waliomtangulia kama akina Mayunga, Twalipo, Sarakikya, Musuguli, ktk kutaja wachache !!!!
Respect!
Waahuuuuuuuuuu! for sure that woman look so young and pretty. But I have question in mind on how older was she when she started working?
Mama upo juu sana!Wanawake mnaweza!
Natural beauty
NAMPONGEZA SANA BRIGADIER GENERAL[RETIRED] ZAWADI MADAWILI KWA KUFIKIA CHEO HICHO (ESPECIALLY KAMA MWANAMKE),ILA NINGEPENDA KUFAHAMU MCHANGO WAKE WA KIPEKEE AU WA KAWAIDA ALIOUTOA JESHINI WAKATI WA AMANI AU VITA,AU KAMA ALISHIRIKI OPERATION MAALUM YOYOTE AKIWA NCHINI AU NJE, HIYO ITASAIDIA VIZAZI VYETU KUJITUMA NA SIYO KUPENDA SIFA ZA VYEO TU BILA KUJUA VINAPATIKANAJE ! NA PIA ITASAIDIA KUTUMIA UBONGO ZAIDI KULIKO UTI WA MGONGO TU KAMA ALIVYOANDIKA Albert Einstein(the then SCIENTIST & PHILOSOPHER), nasubiri maelezo yaliyojitosheleza na yenye uhakika
Ngereja umenena huyo mama ni Brigadier General, kuna watu humu wanatoa maoni bila kuangalia tena vile vitoto vya enzi za vyama vya TP, CHADEMA NCCR MAGEUZI hawakupita JKT.
Hamna nidhamu bure kabisa hata ukiwakuta maofisini ni kama wako vijiweni. Haluuuu mama nakuheshimu keep it up mpaka uwe Lieutenant General uje ukamate cheo cha Afisa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi wa kwanza mwanamke yaani Chief of Staff!!
Pongezi kwa huyu Mama kufikisha cheo hicho major jenerali.kweli hiyo picha yaonyesha alipokuwa na rank ya brigadier.Nashauri basi baada ya malalamiko yote picha iwekwe ya rank ya sasa ili kuwiana na cheo chake kwa mda huu ama kuwa na kanote ya kuwa nyakati hizo alikuwa brigadier.kwisha.
I salute you!not only for your achievements but as a Major General.
Salute you mum, God bless ya
as your daughter…though u have retired,i still cant be grateful enough for your achievements.and for all that have been putting their comments saluting you.
am very proud of you.you are my model mum.
much love
Catherine,
Thank you for stopping by.Your Mom is an inspirational not only to you but to a lot more people out there.Please convey our greetings to her.It will be nice to have a chance to interview her.Can you make that happen?