MY TANZANIA   |   PLACES TO GO   |   MEDIA   |   ONLINE ENTERTAINMENT    

 

Kama kuna ukweli wowote kwamba mwanasiasa huzaa mwanasiasa,basi Raisi wa Zanzibar, Amani Abeid Karume(pichani) ni uthibitisho wa hilo. Yeye ni mtoto wa Raisi wa kwanza wa Zanzibar,Hayati Sheikh Abeid Amani Karume. Amani Abeid Karume alizaliwa tarehe 1 Novemba mwaka 1948 huko huko visiwani Zanzibar. Kisha baada ya hapo ikawaje?Kujua hilo bonyeza hapa. CV ya Mheshimiwa raisi inapatikana kwa kubonyeza hapa.

Share and Enjoy:
  • Digg
  • Sphinn
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Mixx
  • Google Bookmarks
  • email
  • LinkedIn
  • Live
  • Spurl
  • Technorati
  • Yahoo! Buzz
  • YahooMyWeb

Feedback / Comments

10 Responses to “AMANI ABEID KARUME”

  1. Comment by kaled on December 15th, 2007 5:34 am

    cv yake haijatulia. amemaliza shule then amekuwa muhasibu na ameshika nyadhifa mbalimbali serikalini kabla ya kuwa prez. CV mtu wangu inatakiwa atueleze mlolongo wa shule mpaka vyuoni,,, siyo kama hivyo eti kamaliza rumumba the kawa accountant

  2. Comment by aisha on December 15th, 2007 7:12 am

    Inaonesha urais kaupata kwa sababu baba yake alikuwa mkubwa kwani elimu yake ni form six hakuendelea zaidi ya hapo zaidi ya kujua kiingereza tu.Na baada ya elimi pia hizo kazi kapewa kiuenyeji tu.

  3. Comment by Kimori on December 15th, 2007 12:47 pm

    I think his late father played a significant role in his career…that’s all!

  4. Comment by Majita on December 15th, 2007 1:13 pm

    Kwa Elimu hiyo mimi naona kama inamfaa SANA.Wadau si mnajua amezaliwa na kukulia pia kusomea Zanzibar??Si mnajua kuwa huko Zanzibar hata ukimaliza Form II kuna cheti?? Ije kuwa form six.Sijasema hata vyeti vya madrasa huko ni deal kinoma.
    Inatosha kiasi chake.

  5. Comment by aisha on December 15th, 2007 1:38 pm

    Nafikiri na hiyo form six nayo ni ya kupewa.

  6. Comment by sibah on December 16th, 2007 7:33 pm

    nadhani anajitahidi kuleta maendeleo znz, pia nilisoma article ya salim ahmed salim. Naona nae ana points kuhusu kuwaamsha wasoni, ni kweli, maana wana mchango mkubwa katika jamii ya tanzania. Ila tuwe makini, na wasomi wahindi wa kitanzania, wanavuruga watu haom kuweni wakini watu weusi, ni hatari sana hao.

  7. Comment by Dave on December 17th, 2007 5:30 am

    Mheshimiwa Rais no shule kabisa, hana tofauti sana na Prezida Kabila.

    Naomba niulize swali, hivi mlishanotice kuwa wazanzibar hawako active kabisa linapokuja swala la siasa? Ni mara chache sana kukuta wana strong point wanapokuwa wanachangia mada zinazohusiana na siasa hasa hasa ile ya ndani ya nchi yao, mathalani kuhusu haki ya anzibar kupata uwakilishi UN au Fifa..ukiwauliza maswali mawili matatu wanakuwa wabishi wanaishia kusema Karume alilazimishwa kuingia kwenye Muungano

    Je, ni kwamba elimu ya siasa haitolewi kwa raia wa zanzibar au ni vipi?

  8. Comment by Loyce on December 19th, 2007 8:13 am

    Mh!!!!!!!no comment.

  9. Comment by saleh on February 23rd, 2009 8:05 pm

    huu uraisi haujawahi kutokea akiona trdhi ina upepo mzuri yake,na wananchi wanakufa na njaa na wenye uwezo wanakimbia kwa ukame wa unguja.nakumbuka ilikuwa unguja njema atakae na aje leo aendae na ende sisi tufakamie?jee hii ndoo mila ya kizanzibari?imekuwa uraisi wa kupasiana kama mpira. masikini kijiwe chetu kimekwisha………

  10. Comment by Ahmed Salim Ahmed on September 2nd, 2009 6:42 am

    waachie CUf nchi na wao waongoze,Kumbuka kuna leo na kesho,

Leave a Reply