Countdown ya mashindano ya Miss World 2007 imeshaanza. Zimebaki siku chini ya 25 kabla kitendawili cha mrembo mpya wa dunia kutenguliwa huko mkoani Sanya nchini China.
Ingawa mashindano ya mwaka huu hayatokuwa na washindi wa mabara kama ilivyokuwa mwaka 2005 na 2006, warembo 13 wanaoziwakilisha nchi zao za kiafrika watakuwa na kazi ya ziada kuhakikisha kwamba bara la Afrika halitoki patupu kabisa. Warembo kutokea barani Afrika ambao wanaelekea China mwaka huu ni kutoka Angola, Botswana, Ethiopia,Ghana,Kenya,Namibia,Nigeria,Afrika Kusini,Swaziland, Sierra Leone,Tanzania,Uganda na Zimbabwe.
Jumla ya nchi 107 zinashiriki mashindano ya mwaka huu ambayo kama tulivyosema hapo juu,hayatokuwa na washindi wa mabara. Kama mtakumbuka mwaka 2005 mrembo kutoka Tanzania,Nancy Sumary, alikuwa Miss World Africa kutokana na utaratibu wa miaka hiyo wa kutoa washindi ki-mabara.
Mwaka huu washindani wote watakuwa wanawania nafasi 15 za juu na pia nafasi 5 za kutwaa mataji ya Beach Beauty, Beauty With A Purpose, Sports, Talent na Top Model Contest. Hizi hapa ndio picha za washiriki wanaoliwakilisha bara la Afrika.Ungemchagua nani?

Kutoka Tanzania-Richa Adhia (19)

Kutoka Kenya Catherine Wainaina(22)

Kutoka Uganda-Monica Kansiime Kasyate (21)
Hao ni kwa upande wa Afrika Mashariki. Wengine waliosalia kutoka Afrika endelea hapa

Kutoka Nigeria- Manuchi Gail Teresa Abii Nwankwo (20)

Kutoka Zimbabwe-Caroline Marufu (24)

Kutoka Afrika Kusini-Megan Kate Coleman(22)

Kutoka Siera Leone-Fatmata B.Turay (20)

Kutoka Namibia-Marichen Jolandi Luiperth(21)

Kutoka Ghana-Irene Akosua Dwomoh(21)

Kutoka Swaziland-Nkosing’phile Dlamini(22)

Kutoka Angola-Micaela Patricia Reis (18)

Kutoka Botswana-Malebogo Marumoagae(24)

Kutoka Ethiopia-Mihiret Abebe(19)
Feedback / Comments
55 Responses to “TUMAINI LA AFRIKA MISS WORLD 2007.”
Leave a Reply


miss uganda so pretty hapo mimi ninge mpa uganda ningumu kwa mimi binafsi ku judge uzuri wa muhindi kwasababu sijui sorry Richa
Richa kasimama mara mia ya hao wote.
It is not that I am obsessed with citizenship, it is all bout the reality.
Even wewe bro najua hapo umekoma.
I will choose Nigeria she is pretty nice eyes good smile !!!next Ridha
mhhh mtoto wa kiganda kasimama si mchezo babaake…
real african beauty
No doubt even a blind can guess that Irene Akosua Dwomoh from Ghana is authentically an african woman….DNA experts would have bo difficulties in confirming the fact!
mbona tz hatuna mwakilishi jamani?
watu pasua kichwa humu!sasa Tanzania hatuna mwakilishi kvp?we humuoni huyo ktoka south africa?alaf huyo mnaesemaq mdosi ndio yuko sanya sasa hizi haahahha.
1)Nigeria, 2)Namibia, 3)Angola 4)Ethiopia….Miss Bitswana ana “great body” anaweza akaukwaa pia ila Miss Tz-India Sura yake kama imepinda kwa juu kuelekea kushoto alafu pua na masikio yamezidi kiwango cha TBS
Kila la kheri nyote wenye asili ya Kiafrika…I mean weusi.
mi nampasapoti mtanzania mwenzangu though Nigeria na Ethopia watampa challenge. Watanzania mkitaka ushindi bila shaka inabidi mumpe mtanzania mwenzenu sapoti.All the best RADHIA.
Mtanzania mwenzetu yupi? mbona sioni Mtz hapo….Labda Miss Ethiopia/Nigeria wana nafasi kubwa…Ila katika wote hao sidhani kama Miss Tanzania ana vigezo vya u Africa hata kiduchu….Pamoja
hana***
Richa hapati kitu ni hapa TZ wamezoea kuonga ndio maana kapata taji.Hakirudi tu hutasikia hoo nimeshinda miss bikini.
janani mi nawaambia miss TZ atakuwa katika 15 bora na posibility ni kuwa atakuwa miss world africa ni mpole mtaratibu na sura nywele,midomo,mkao wa macho yake na umbile lake ni moja ya vigezo D.TRUMP anatafuta.
jamani wa TZ mkibaguliwa mnaleta nyodo mbona njie mnambagua binti wa watu?Aibu yetu….
Standouts are Nigeria, Angola, Namibia and Ethiopia. I think for the queen of Africa, its between Angola and Ethiopia.
Funny that people like Nigeria and are being so mean to Tanzania. Nigeria by the way is mixed. Although Tanzania doesn’t stand a chance, I commend her for representing Tanzania. For all the haters who are probably going to be pointing fingers at her when she does’nt place just keep in mind that only 1 out of 12 Tanzanian contestenat has ever placed. (food for thought). Stop being mean to her and lets support her 100%.
Kitu ambacho sijakielewa hadi leo kwa nini warembo wengine walifurahia sana alipotangazwa huyu dada ni mshindi…i mean wale washiriki wengine maana nilikuwepo, ile ilionyesha kuwa walikubali ana vigezo vya ushindi… na mbona South Africa kasimama Mdhungu jamani…..?
Hahahahha wazaliwa naona mmemtolea macho muhindi,mtoto kaula kama kweli nyinyi wazawa na sio wazaliwa mngewatoa wahindi kwenye bunge lenu.alafu mnaokashifu mnataka muafrika alisi hawakilishe mngeenda kugombania mtuwakilisha.kima wa bluu nyie .msijali yanapita tu hayo ,yanafanyika kila mwaka sema wale wabunge wakihindi wanakaa miaka mitano.
Utaifa kwanza, mrembo wa Nigeria maridadi lakini ngoma mwaka huu inatua Tanzania tena kama mwaka ule!
Ubongo tofauti mawazo tofauti….Ulieuliza Miss RSA kuwa mzungu bila shaka wewe sio MuaFrica leave alone uTanzania….
Nway Nancy alishinda kwa sababu Mamiss waliobakia kwenye ule mchujo alikuwa Miss RSA ambae alikuwa mzungu yeye akashinda kwa sababu alibaki mweusi peke yake (wanaojua dark continent) wanaweza husianisha…..
Otherwise huyu Mdosi hana nafasi nyie subirini mtaona tu….
Yetu macho, hilo ndio chaguo la kina Lundenga hata tukisema nini haitosaidia kwa kifupi LETS SUPPORT HER kwani ndio tayari anatuwakilisha, au vp??imeshatokea, no way out kumbadili.
NAdhani busara na Uzalendo hautumiki katika nchi yenu mmekuwa wa kwanza kujikandamiza wenyewe na haitosaidia bali itawapoteza wa Tz.Mrembo wa tz yuko poa na anasifa zote za kufanya vizuri wacheni kuangalia rangi.Pendeni kujisifia wenyewe kwanza ili wengine wapate kuwasamini na sio kujishusha kama mfanyavyo mwaweza jikuta hamuendelei na kubaki laumu viongozi.Richa Keep it up usisikilize kerere za chura.
Mnaofananisha South Africa, hamjui historia ya SA, ile ni nchi mchanganyiko, SA iko tofauti kabisa na nchi nyingine za kiafrika, tutam-support tu huyo mhindi wetu kwa shingo upande lakini ukweli upo palepale hawafikii kabisa hao warembo wa kiafrika kutoka kwa wenzetu…
respect 2 mic tz coz she iz so beautiful dan ol da galz i hav seen frm africa keep t up richa ur da best among ol don worry ull get our support n im sure ur gng 2 b mic africa dont mind wat people speak abt u jus do wel dare n take care.n u guyz y ru sayin bad wordz 2 our mic stop t n mind ur own bussiness k whether u lik t o nt richa frm tz iz da best among ol
Good luck for misstz,but uganda she is the prettiest hakuna cha naijeria, angola, ethiopia wala nn.
I definately think ts goin to be a tough competition bse the girls frm Angola,Ethiopia n Nigeria are absolutely beautiful….Mis Tz however doesnt look too bad herself,with enough support frm watanzania we might get suprized…..
Maybe hatukupendezwa na uchaguzi wake,but i think enough has been said…….the girl is confident n needs our support…lets give her that n less hatred will help…..one lov ppl
jamani, sijawahi kuona m-nigeria mwenye rangi nzuri namna hiyo. lakini mganda ni chaguo langu.
Hahahahaha!! Dinah leo umenifurahisha sana, nakuunga mkono mama!! Jamani tukubalini huyu Miss Nigeria katulia! Mtoto utadhani kashushwa fro the heaven!!
Tz hakuna kitu!!!
Ni upuuzi kuhoji utanzania wa Richa sasa hivi, wakati wahindi kibao wamo bungeni!!!ni kukosa akili kuanza kumsakama Richa. Lakin ukweli Richa ni mrembo, anaonekana muungwana sana hata kabla hujaongea naye, kifupi ni mrembo kupita hata hao waliomtangulia mamiss tz!
Kuhoji uwakilishi wa richa miss word kama ni halali au si halali ni kitu kdg sana ukilinganisha na kuhoji uhalali wa wawakilishi wa wananchi bungeni, ambako msingi wa sheria zote za nchi hutungwa, hata hizo za kuelekeza namna ya kumpata miss tanzania!!! ni vp ulalamike richa kuwa miss tz, halafu usilalamike mhindi kuwa mbunge!!!kama sio wendawazimu ni nini sasa!!!
jamani jamani ubaguzi huu utatusaidia nini watanzania? mbona tunachagua wabunge wahindi na wanawakilisha majimbo yao yaliyo sheheni watu weusi? mwache mtoto wa watu akatuwakilishe maana anakigezo muhimu cha u Tanzania hata kama ni mhindi. Akirudi na kombe la Miss World sijui mtasema nini. Tumuombee ashinde!!
kila mtu ana nafasi yake kutoka kwa MUNGU maishani, sijui tutasemaje pale richa atakapokuwa anavishwa taji la Miss World! Remember, Magumu anayoukumbana nayo huyu dada ndio mwanga wa ushindi maishani mwake. We may miss a place to run on her landing!
Wabongo kwa stori eti magumu,wengine avikwe taji,wengine wanaona uungwana…mradi kila mmoja aongee….
Kama ilivyo kwa kina gulamali Richa ni mhindi tu hata afanyaje….Kwani hao kina Gulamali na wengineo si kila siku watu wanalalamika au sababu hawalalamiki hapa???
huwezi lalamika kama hujaona picha za wahusika as unalalamika accordingly….
Kama kigezo ni uzuri Richa sio mzuri kuliko hao hapo….
Kama kigezo ni RAngi hao ni weusi na Richa hana hata ule kusema ni Uafrica….
Kama kigezo ni elimu bado hana elimu ya kusema anamsumbua mtu(form four ambae hatujui hata kama alifaulu au alifeli…LoL).
Kama kigezo ni Asili ndugu yenu rangi imeshamponza….
NB: bunge halitungi sheria za Miss World..
Kama mtaroga apate huo ushindi bado kwangu Hana vigezo vya Utanzania na hakuna kitakachobadilika zaidi nayaona hayo mashindano hadi sasa kuwa ni BATILI…
Anaesema hakuna la kufanya anakosea lipo la kufanya/yapo ya kufanya ….Ni kuongea hadi pale utakaporidhika na nafsi yako ndo unamove on ili hao wapuuzi husika na kufanya hizi tuzo kuanzia ngazi za vitongoji wajirekebishe…Not Otherwise…Pamoja
ETI SURA IMEKAA UPANDE, SO UNAMDHIHAKI MUUMBA KAMA KAKOSEA KUUMBA, ACHENI UBAGUZI MKAFIKA MPAKA KUMDHIHAKI MUNGU KTK MAUMBAJI YAKE.
Watanzania kwa kujambisha .jamba jamba nyingii mshaambiwa huyo demu kila kitu kinachomkuta nichake binafsi .who cares about miss world nashida tulizokuwa nazo hizi? Dunia inalilia mafuta wakati nyinyi hata maji masafi bado hamyaoni.richa namtakia kila la kheri na ushindi wake aliopata humsaidie katika maisha yake sio maisha ya mtanzania. Lieni na wabunge wenu wahindi,kama kweli nyinyi weusi mngewachagua weusi wenzenu wawakilisheni bungeni.kila siku mnajambisha .piganieni haki ya weusi wenzenu wanaopata shida vijijini na mjini sio rangi ya Richa.matatizo gani wameyatatua hao mamiss waliowailisha waliopita? Kama sio wanasonga na maisha yao tu binafsi.kinawasumbua hapa ni roho ya korosho.
Achane mambo yenu hayo ya kibaguzi. Kwani hao weusi mnaowapeleka kila mwaka ukiacha Nancy walifika wapi Miss World. Si wote walirudi mikono mitupu, Na mlisema nini?
Nakutakia kila la heri Richa. I b’lve u gonna make it. No matter what people say just keep it real
Richa,Fatmata,Irene na Mulebogo kweli hawa wanatisha na ninajua lazima katika hawa watakuwepo kwenye mataji muhimu mwisho mnageria na yeye yuko kama mnabisha mtaniambia.Mwisho nawambia Richa anatisha nahakika atawakilisha vyema TZ.
My dear kama ningekuwa jaji ningewachagua watu 2 miss Uganda and miss Nigeria.I love them.
Dada yetu wa tz alikuwa na vigezo ambavyo vimemwezesha yeye kushinda,cha msini ni watu kubadilika kimawazo,mitazamo tuliyonayo haiwezi kutukomboa kwa wakati huu tulionao,anapotokea mwenye uwezo zaidi haijalishi yuko vipi au ana rangi ipi,ebu tumkweze kwa ajili ya manufaa yetu haswa kiutalii na uwekezaji!
acheni ubaguzi RICHA ANASTAHILI NA TAJI LAKE LINATAMBULIWA. HAO WENYE VIGEZO MBONA WALIENDA NA KURUDI WITH NOTHING BUT CATWALK.SIWAPONDI MA MISS WETU WALIOPITA NA WALIOKUWA KWENYE KINYANG’ANYIRO CHA MASHINDANO WITH RICHA ISIPOKUWA SASA INABIDI TUKUBALIANE NA MATOKEO IKIWEZEKANA TUM-SUPPORT RICHA MA’NAKE LONGOLONGO ZIMEKUWA NYINGI SANA SASA. NEXT TIME AKISHINDA MISS MWANZA MTASEMA KASHINDA MSUKUMA MASHINDANO YANAENDESHWA DAR TUNATAKA MZARAMO, WENGINE WATAONGEZA KATOKA BARA SANA HATA ENGLISH YAKE YA KISUKUMA. NA AKISHINDAJE KWANZA (WENGINE WATAHOJI)
Richa looks good and will win any prize but she has got to watch out for miss Angola though?!
mm sijaona muwakilishi wa tz
Watu bwana heti ubaguzi hoo mbona wengine walikwenda hawakurudi na ushindi, kama watu hawamtaki ni hawamtaki tu hata mseme wabaguzi.Mbona alishiriki miss utalii karudi mikono mitupu sasa kapachikwa MISS TZ Hoo mzuri acheni ubaguzi WATANZANIA HAMKENI hivi mnafikili hatashinda.
Kumbe wabongo ndo mlivyoo?? sasa hili bara la africa, kwa yale maoni ya wengi naona africa for black only? tuite nini…si UBAGUZI??? Achaneni na mitazamo ya 19 kweusi….dunia ilivyo sasa hakuna rangi hii ya wapi hii ya wapi..ikiwa hivyo africast wataenda wapi? mana hapa mrembo wa south, angola na TZ wanatolewa kafara..kwa mitizamo yenu nyie wenzangu na mimi (wabaguzi wazuri) acheni hizo…
Richa kwa africa nampa nafasi ya kwanza, next Miss Ghana..(sorry wabaguzi.. but charity begins at home!!!!!!)
Thanks.
Mungu Ibariki Afrika, 1+1=2
Yote heri tu wana wane
Mimi nawaona mapungufu wa akili wale wote waliomponda richa
cha msingi jiulizeni ni nani mtanzania
mukipata jawabu basi richa ana kila haki na uchaguzi ulikuwa sahihi.
richa songa mbele.
please let’s agree…real 1+1=2
Richa amesimama tumpe sapoti
rangi sio hoja mbona wewe mbaguzi hufanani na baba yako.
jamani BUNGENI wahindi wapo lkn sio SPEAKER wa bunge ni wabunge wa kawaida tu,ngazi ya miss kinondoni ilikuwa tosha(ndo sawa na wabunge)lkn ngazi ya miss TZ ni kubwa mno sawa na speaker wa bunge, JE MNGEKUBALI SPEAKER AWE MUHINDI????
wote wanaomuunga mkono Huyo dada hawawajui wahindi.Ukija ukaka nao kwa muda utajua ni watu wa aina gani
Mimi siwapendi kabisa in general
I feel ashamed my country is represented by an Indian.Just waiting for next year.Lakini aibu kubwa ni kwa majaji kuona she is proper.
BETTER KNOW THAT INDIANS NI WATU WABAYA SANA.
Dunia yajua nashangaa kuna watu wanawasapoti.Wake up
Wewe mpoki unasema habendi kabisa Muhindi in general. Kama mtu nashukia moja au 10 haoni kwa nini kushukia yote?. watu yote naundwa na Mungu na yote sio moja yuko mhindi mzuri na yuko Mhindi mbaya. Kama yuko mtu ya Africa mzuri na pia yuko mbaya.
Mimi unoona hamna maana ya kushukia binadaam kama wewe..
Washa baguzi yako hiyo ndiyo sumu unofanya weye onashukia mtu yote..
Mimi kwa muono wangu ni kuwa hakuna haja ya kulalamika wakati kaisha fika mbele kama tungekuwa na msimamo tunge kataa huku huku tanzania kawalivyo na msimamo wa south, mambo muya fanye wenyewe alafu mji koshe hapa msiumize watu masikio, cha kufanya ni kulekebisha wakati mwingene na kuwa makini katika uchaguzi wetu.
watanzania hatuna akili hatuoni ukiangalia mzungu na huyo muhindi wetu wanatoka nje kabisa ndio maana kila kitu tunasubili kufanyiwa. Hata akili ya kuona tu.
looking good girl
whats up unatisha sana demu basi njo karibu yangu ili moyo utulie ausioooooo.